admin created a new article
7 w - Translate

KANUNIA YA KUTUMIA MAPRO WOTE 12 YAIBUA 'MUSHKHERI'.....WAKONGWE WAJITOKEZA KUPAZA SAUTI...KIBADENI ALIA.... | #tplb #yanga #azam #simba

KANUNIA YA KUTUMIA MAPRO WOTE 12 YAIBUA 'MUSHKHERI'.....WAKONGWE WAJITOKEZA KUPAZA SAUTI...KIBADENI ALIA....

KANUNIA YA KUTUMIA MAPRO WOTE 12 YAIBUA 'MUSHKHERI'.....WAKONGWE WAJITOKEZA KUPAZA SAUTI...KIBADENI ALIA....

BODI ya Ligi (TPLB) juzi usiku ilitangaza mabadiliko ya kanuni ya usajili wa nyota wa kigeni kwa kusema wachezaji wote 12 wanaosajiliwa na timu moja wanaruhusiwa kucheza mechi moja, jambo lililowaibua wadau waliopokea kwa mitazamo tofauti.