admin created a new article
7 w - Translate

AZIZ KI ATUMIKA KUNADI MCHEZO WA POLISI TZ NA YANGA...VIINGILIO MECHI YA LEO VYAPANDA BEI KISA YEYE... | #yanga #aziz KI

AZIZ KI ATUMIKA KUNADI MCHEZO WA POLISI TZ NA YANGA...VIINGILIO MECHI YA LEO VYAPANDA BEI KISA YEYE...

AZIZ KI ATUMIKA KUNADI MCHEZO WA POLISI TZ NA YANGA...VIINGILIO MECHI YA LEO VYAPANDA BEI KISA YEYE...

Wakati homa ya mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga dhidi ya Polisi Tanzania ambao utapigwa kesho ikizidi kupamba moto jijini Arusha kiingilio cha chini katika mchezo huo imetajwa kuwa ni shilingi elfu 10,000.